habari zenu wadau. ninatafuta eneo la kulima maeneo ya wilaya ya ulanga kwenye bonde la mto kirombero ( ilagua). nilistushwa niliposikia kuwa kuna watu walioingia kwenye hifadhi ya pori la kirombelo. kama kuna mtu anataarifa ni maeneo yapi ambayo watu wanatakiwa kuhama. ninaombeni msaada wadau kamtaji nilikodunduliza kasije kakaishia hewani.