Msaada kwa walimu wa post graduate diploma of Education (PGDE)

kayimukaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
492
Reaction score
659
Habari zenu wakuu na heri ya sikukuu ya wafanyakaz

Naomba niulize kwenye listi za walimu wapya waliopangiwa vituo vya kaz mwez uliopita,

swali langu ni kuwa, mbona sijaona majina ya walimu wa post graduate diploma of education (pgde) ila nimeona majina ya walimu wa cheti, astashahada (diploma) na shahada (degree) pekee,

naomben ufafanuzi wakuu na mliomaliza mwaka jana hiyo koz ya pgde maana na mimi ninasoma hiyo pgde na nategemea kumaliza mwisho wa mwez ujao wa sita na moyo ushaanza kudunda. Natanguliza shukran wakuu
 
 
nimesoma udom, tuliograduate tulikuwa 76 na wote wana ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…