Hello Brothers and Sisters!Hongereni kwa Kuchaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Bora Tanzania na Afrika kwa ujumla.Hoja zenu nimeziona, naomba kuwapa majibu sahihi maana mimi ni mtangulizi wenu chuoni hapa. Kuhusu ADMISSION FORM, zinapatkana kwenye website ya chuo, lakini si vizur kutumia hiyo maana ile ni general, kuna vitu vinapungua mfano REG. NO YAKO. Nenda chuoni uchukue Bahasha yenye fomu iliyokamilik. Form hiyo ina maelekezo yote pia imeambatanishwa na MEDICAL EXAMINATION FORM. Wakati unaifata nenda na kitambulisho chochote au cheti chenye majina na picha yako halisi. Ukisha chukua nenda kwa Dr. Akujazie form ya Afya, then fanya malipo ya Ada, direct cost ambayo ni kama 78000/-, ada ya Hostel. Kisha ndo uende kuanza taratibu za Regsration.Mind you kidogo taratibu za USAJIRI ZINAKERA hususani kwa Cozi zenye watu wengi, hivyo nakusihi kuwa mvumiliivu na kujitahd kuomba ushaur kwa wazoefu.ASANTENI. NITAFUTE KWA MAELEZO YA ZIADA0756628773 (WHATSAPP)0715013314 (CALLS ONLY)KIONA MBALI is my Famous name.BED. PSYCHOLOGY-UDSM.