Msaada kwa waliochaguliwa vyuo vya afya

Msaada kwa waliochaguliwa vyuo vya afya

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
jaman nimeingia kwenye profile yangu, nimekuta nimechaguliwa lakin kuna mahali pameandikwa kwamba natakiwa kuconfirm alafu ikasema to confirm click the confirm button alafu hiyo button siioni. msaada tafadhali... pia juu kabisa kwenye current status kuna NENO PS nalo silielewi
 
Badili browser unayotumia,tumia ucweb browser mkuu uko firm lasihivyo watakuacha kufikia tar 12.kama unatumia opera 8 hapo sawa lakni kama hamna tumia ucweb ndugu utaliona tu neno lenydwe kwa chni yake
 
jaman nimeingia kwenye profile yangu, nimekuta nimechaguliwa lakin kuna mahali pameandikwa kwamba natakiwa kuconfirm alafu ikasema to confirm click the confirm button alafu hiyo button siioni. msaada tafadhali... pia juu kabisa kwenye current status kuna NENO PS nalo silielewi

Wewe hiyo profile yako umeipatia wapi,mbona mi nimetafuta nimekosa.Nijuze nami niangalie maana nami niliomba
 
Back
Top Bottom