jaman nimeingia kwenye profile yangu, nimekuta nimechaguliwa lakin kuna mahali pameandikwa kwamba natakiwa kuconfirm alafu ikasema to confirm click the confirm button alafu hiyo button siioni. msaada tafadhali... pia juu kabisa kwenye current status kuna NENO PS nalo silielewi