JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
Habari wakubwa bila shaka mpo salama, nawahitaji wote mliosomo hiyo kozi au mnaendelea na masomo kozi hiyo hapo juu. Naomba uzoefu wenu katika hiyo kozi kuanzia uzuri wa kozi yenyewe katika nyaja zifuatazo:
1. Kwa maendeleo ya mtu binafsi yaa baadae kuanzia ajira na hata kujiajiri.
2. Commitment yake ili uweze kufaulu vizuri na kumaliza kwa wakati/muda mfupi
3. Namna inavoendeshwa hasa kwa practicals na field namna gani zinapangwa hizi sessions? Ni chuo kinaamua au wanafunzi wanapanga na vipi zikiingiliana ratiba yao na ratiba ya kazi? Unaweza kuadjust kipindi chakocha likizo?
4. Vipi mtu aliyekatika private sector anaweza kumudu kuendana na ratiba hizo? kama unavyojua private wakijua unashuhulishwa na kingine ni rahisi kukutema
5. Lectures ni recorded au ni live lectures?
6. Naweza kuchagua hata kozi moja kila mwezi na kufanya mpaka mtihani wa mwisho?
7. Na mengineyo ambayo unaweza kuyadadavua kwa kozi hii
7. Kwa wale ambao wameanza first year novemba hii pia mjitambulishe ili mpate connection na wenzenu
Asanteni sana natarajia kujifunza mengi kutoka kwenu, kwani nimekua interested sana na hii course kuweza kuijua kiundani kutoka kwa wazoefu wenyewe waliopita.