Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Copy ya transcript na kitambulisho chako,unajaza fomu unaipeleka kwa wakili then unawarudishia...ukienda asubuhi unachukua mchana wa siku hiyo hiyo.
Kitambulisho si kinarudi smart card wakati wa clearance....
Si lazima kiwe cha chuo, unapata siku hiyo hiyo!!
Sio kitambulisho cha Chuo,kinaweza kua kadi ya mpiga,kitambulisho cha taifa au kazi.