kwanza nawasalimu wote!
kichwa cha habari cha husika!
Ningeomba msaada wenu kuhusu taratibu zakupata hizo nafasi kusoma katika nchi tajwa,mahitaji ya applications pia ningependa kujua!
*Nategemea kumaliza kidato cha sita mwaka huu mwezi mei
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.