Kwa nijuavyo miaka 3 ni kama una Full Technician Certificate(FTC) or diploma NTA Level6 from technical colleges eg DIT,ATC or MIST na hiyo miaka 4 ni kama umetokea A-level!
We kapge civil ya udsm au ardhi ndo za ukweli dogo.
hii ni sawa na kulinganisha Shule ya Sekondari ya Kata na Shule Kongwe!
Vichwa wanajua wanapaswa kuwa wapi,
Kilazaaa...!
Unaonge u**ma!
Mkuu Kijamba Koti sijakusoma eti! hizo nyota manake nn?
hata hivo sikushangai make hata jina lako tu na umri ndani ya JF
vinatia mashaka!
unahitaji kusuguliwa "JICHO" lako la nyuma!
Acha kupandikiza mawazo hasi,kwani vyuo vingine vina nini!acha ubabaishaji kwenye masuala ya elimu!
Mkubwa!....asikudanganye mtu,nenda kapige hiyo course.Ila tu kuhusu swali lako,hiyo ya miaka mitatu ni kwale walio na diploma civil engineering.na kwa wale waliotoka A Level hupiga miaka 4.narudia tena,kapige hiyo corse uje ule kuku,ukianza ni Pm nikuchangie ya stationary japo kidogo
Kula shortcut ya 3yrs SAUT.Kwa brothers and sisters mliosoma hiyo course hapo juu nlikuwa naomba kuuliza kitu kuhusu hiyo course sababu nimeona kwa UDSM na Ardhi ni miaka 4 lakini kwa St Agustine ni miaka 3,sasa nlitaka kujua je kuna ubora tofauti wa ufundishaji kutoka kwenye hivyo vyuo na je kama kuna utofauti chuo kipi ni bora zaidi kati ya vyote na soko la ajira kwa hiyo course likoje,,
Asanteni sana
mdogo Wangu,karibu sana udsm na hasa koz hyo ya ce ndo chagua sahih,mim pia naxoma hyo koz ndo namalizia 4th year,.ardh wanakuja ku2mia lab za ud na vitu kbao wanategemea hapa kwetu.jaza udsm dogo bt kaza msuli..kila la her mhandisi mtarajiwa