Kijana usilazimishe rangi ya coca cola ifanane na ya fanta. Siku zote utavaa suluari ya saiz yako. Dogo kama umepiga fresh kasome udsm achana na vyuo vya mafisadi.Acha kupandikiza mawazo hasi,kwani vyuo vingine vina nini!acha ubabaishaji kwenye masuala ya elimu!
mkuu hapo juu unamaanisha nini unaposema Btech???..natanguliza shukurani...
Btech ni Bachelor of Technology in Civil Engineering...broda
Mkuu,Tanzania hii kuna chuo kinatoa hiyo Btech?Maana katika vyuo vingi ni bachelor of science in...or bachelor of engineering in...sasa hiyo btech imeanza lini?Nitafurahi ukinielekeza kama kuna utofauti na kati ya hizo mbili na hiyo btech!
Kwa brothers and sisters mliosoma hiyo course hapo juu nlikuwa naomba kuuliza kitu kuhusu hiyo course sababu nimeona kwa UDSM na Ardhi ni miaka 4 lakini kwa St Agustine ni miaka 3,sasa nlitaka kujua je kuna ubora tofauti wa ufundishaji kutoka kwenye hivyo vyuo na je kama kuna utofauti chuo kipi ni bora zaidi kati ya vyote na soko la ajira kwa hiyo course likoje,,
Asanteni sana
Ok huenda kwa hapa bongo hamna...coz mi nilisomeshwa na serikali hiyo course in abroad(ie Bachelor of Techn in Civil Engg) so nahisi kwa hapa bongo hamna chuo chenye hii field..na hii huwa inabamba in everything like geology, environmental, water resources, geotechnical, surveying, transportation, structural..etc....ina content nyingi sana by the way. So hata hiyo Science in Civil huenda iko pouwa.
Nawakilisha
Haloo dogo, kwanini usigonge to Hotel Management miezi 6 pale njueni Kibaha then uka anza kula mshahara. Civili Engineering ina mlolongo kaka unless it is yourself esteem.
1. Course miaka 4
2. Fiel mwaka 1
3. Kuatfuta kazi mwaka 1
4. Kupata uzoefu miaka 2
5. Kujenga carrie/stability miaka 10
6. Kujiajiri na ku stabilize miaka 5
7. To become marketable jumlisha miaka yote hapo juu miaka 25 then jumlisha mpaka utakapomaliza shule 22+25 = 47
Queeze.
Umeona Successful Engineer gani mwenye chini ya miaka 50??????
KUWA MJANJA!!!

We kapge civil ya udsm au ardhi ndo za ukweli dogo.
Kwa brothers and sisters mliosoma hiyo course hapo juu nlikuwa naomba kuuliza kitu kuhusu hiyo course sababu nimeona kwa UDSM na Ardhi ni miaka 4 lakini kwa St Agustine ni miaka 3,sasa nlitaka kujua je kuna ubora tofauti wa ufundishaji kutoka kwenye hivyo vyuo na je kama kuna utofauti chuo kipi ni bora zaidi kati ya vyote na soko la ajira kwa hiyo course likoje,,
Asanteni sana
Hahaha kweli kabisaa hapo umenena siku hizi hakuna mtu mwenye mpango wa kusoma UDSM bora hata uende ardhi kidogo panaunafuu ila St. Agustine ni private institute hivyo lazima utafundishwa vizuri sababu unalia hela yako lakini sio UDSM nimewaona graduate wengi wa UDSM unawapa Ajira alafu hawajui kitu chochote mpaka unajiuliza huyu kasoma wai???