Wakuu eeee...mwisho wa siku mwanafunzi naye ana nafasi yake katika elimu...nasema hiv kwa sababu naona wakuu wamekomalia sana udsm,ardhi,udsm,ardhi....mytake....There is no good university for lazy students....
Nimependa jinsi ulivyochanganua mawazo yako,na umetoa na hesabu nzuri tu!Ila sidhani kama kuna mtu ambaye amepiga fresh PCM au PGM anaweza kwenda kusoma hotel management!Hata mimi nisingeweza!