Samahani sana wana jf, naomba mnipe ukweli kuhusu hawa madada zetu wenye fani za unesi. Nasikia hawa watu ndo wa kwanza katika kusaliti ndoa zao kwa kutembea na madaktari wanapokuwa kwenye 'night'. Je hili lina ukweli ndani yake? Naomba kwa yeyote mwenye mengi zaidi kuhusu sifa na mapungufu yao anidadafulie zaidi. Na ni kwa nini watu wengi hawapendi kuwaoa hawa wadada ambao ni manesi?
Si wote!
Pia mishahara ni kdogo.
Tamaa lazima itakuepo...inabidi wawe wasafi na wapendeze..gharama hizo zitatoka wapi?
Ninae mfaham hana hizo tabia ila mjanja kwenye madawa...kuuza.
-pia ungeeleza nurses wa dispensaries zipi?
Za government au asasi zisizo za serikali au watu binafsi?
Maeneo pia ni muhim ya hivyo vituo.
Mtazamo wangu tu!.
mie ningepnda useme zaidi juu ya hili maana inawezekana ikawa ni hospital/clinic moja unayoiongelea
naongelea manesi in general hasa wale wenye 'night'