Msaada kwa wanafunzi wa mzumbe

Barhearty

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
319
Reaction score
29
habar. Naomba kujuzwa kuhusu fee ya medical inalipwaje mana zipo mbil, ntajuaje mi nilipe ipi kati ya tsh 30000 na tsh 75000. Na sifa zao za ulipaji,pia hostel fee naweza nikalipa nusu au ni lazima kulipa yote
 
jamani nisaidieni mana nataka nkalipe paka huyo anaelipa agome kutoa ela ndo mnijibu
 
km unaweza toa yote...ila iktokea semestr ya pil umekosa campus za ndan utapata shida ku claim ela yako..
 
kwani semistar ya pili tunapangiwa tena hostel
 
Kwan semster ya pili c kuna mambo ya stragged i thnk w2 wote hua na nafac. Vp kwan uko koz gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…