Msaada kwa wanaofahamu kip tech

Msaada kwa wanaofahamu kip tech

BASHADA

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
513
Reaction score
148
Jamani kuna kifaa kinaitwa kip tech kinatangazwa kwenye tv kwa ajili ya cooling system badala ya feni au AC. Naomba kusaidiwa maswali yafuatayo. Je bei yake ni sh ngapi? Ina faida gani ukilinganisha na feni au ac? Ina side effect yeyote?
 
Nenda google kwa maana hapa hamna anayejua ata mimi ninatafuta hicho hicho.
 
Back
Top Bottom