BASHADA JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 513 Reaction score 148 Apr 8, 2012 #1 Jamani kuna kifaa kinaitwa kip tech kinatangazwa kwenye tv kwa ajili ya cooling system badala ya feni au AC. Naomba kusaidiwa maswali yafuatayo. Je bei yake ni sh ngapi? Ina faida gani ukilinganisha na feni au ac? Ina side effect yeyote?
Jamani kuna kifaa kinaitwa kip tech kinatangazwa kwenye tv kwa ajili ya cooling system badala ya feni au AC. Naomba kusaidiwa maswali yafuatayo. Je bei yake ni sh ngapi? Ina faida gani ukilinganisha na feni au ac? Ina side effect yeyote?
brian360 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 224 Reaction score 32 Apr 30, 2012 #2 Nenda google kwa maana hapa hamna anayejua ata mimi ninatafuta hicho hicho.