Jaman mwenzen mimi niko Dom sasa nimepata mke hukoo Hukoooo Uziguani
sasa leo shangazi mtu anakuja kupanga mahali,
sasa sisi upande wetu hatujui nini kinahitajika maana familia yangu hakuna anayejua mila za huko kuwa nini wanadai upande wa mke
mfano: blanket,mkojo wa babu, kanga za bib nk..
Sasa nisaidien kwa tanga
We acha tu nipo mixed up vibaya!
Si usubiri watamke wanachotaka. Au ndo mambo ya pressure. Lol. Mahali hazina formular ni familia na familia, binti na binti; mahali alotzwa mume wangu si alotozwa mume wa mdogo wangu. Subiri watamke; ikiwa kubwa you can always negotiate
Huna haja ya kuchanganyikiwa mkuu unless kama una wasiwasi kwamba ataweka cha juu,lakini ninachojua ni kuwa kama wakitaja mahali always there is a room kwa ajili ya kujitetea ukizingatia siku hizi watu wamekaa kimaslahi zaidi kuliko mila na desturi,usichanganyikiwe,be bold whatever comes,au unaweza muuliza mchumba ako akuibie siri kimtindo
Nakwambia nipo kwenye hic my d. Ndo kampokea shangaz yake sasa mi nipo siti ya nyuma ka shusik vile!
Jaman mwenzen mimi niko Dom sasa nimepata mke hukoo Hukoooo Uziguani
sasa leo shangazi mtu anakuja kupanga mahali,
sasa sisi upande wetu hatujui nini kinahitajika maana familia yangu hakuna anayejua mila za huko kuwa nini wanadai upande wa mke
mfano: blanket,mkongojo wa babu, kanga za bib nk..
Sasa nisaidien kwa tanga