Msaada kwa wanaofahamu taasisi au mabenki yenye mikopo ya masharti nafuu kwa mkopaji

Joined
Oct 31, 2021
Posts
38
Reaction score
66
Habari ndugu zangu, kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari. Natafuta taasisi za kifedha au mabenki ambayo yana masharti nafuu kwa mkopaji mdogo.

Kima cha chini cha mkopo naohitaji ni milioni 1.5, Na kima cha juu sana cha mkopo naohitaji ni milioni 10 dhamana nyumba ya milioni 100 ipo dar, tegeta.

Mimi ni muajiriwa, Pia mjasiliamali mdogo sana. Japo kwa nyakati tofauti nilishajalibu kukopa bila ya mafanikio yoyote. Sababu wanazoniambia (Hizo taasisi) wanakopesha watumishi wa serikali na wafanyabiashara wanaotambulika tu.[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…