Msaada kwa wanaojua mashine hii

Msaada kwa wanaojua mashine hii

paramawe

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
151
Reaction score
24
HABAR ZA MUDA HUU, NAOMBA MSAADA WA KUFAHAMISHWA NA WATAALAM WA MASHINE AU YOYOTE AJUAE HILI, SWALI; IVI MASHINE YA KUSAGA MAHINDI INAWEZA KUSAGA MABUNZI (MAGUNZI) YA HAYO MAHINDI NA KUWA CHAKULA CHA MIFUGO, AU KUNA MASHINE MAALUM YA KUSAGA HAYA MABUNZI? KM IPO UNAWEZA NIFAHAMISHA NI WAPI INAPATIKANA NA GHARAMA ZAKE PIA.
Samahani sijui usahihi wa jina Bunzi au Gunzi.
Msada wenu ni muhim nifunge shambani kwangu.
Nawasilisha.
 
sijakuelewa mkuu pls km una msada wowote mwaga iwe faida.
Mashine ya kusaga mahindi ni kwa ajili ya punje za mahindi tu.
Jambo la kwanza ni kuwa je magunzi ni chakula cha mifugo?kama jibu ni ndiyo wasiliana na SUA au SIDO
 
wasiliana na Sido wanaeza kuwa wana mashine kama hizo unazohitaji
 
Ukiangalia mechanism ya mashine ya kusaga mahindi utaona hata hayo magunzi inaweza kusaga, sema itabidi uweke chekecheo kubwa kidogo ili itoe chengachenga badala ya unga laini. Wasiliana na wataalamu wa mifugo ujifunze ingredients za hicho chakula kulingana na mifugo unayotaka kulisha, kisha utajua mashine za aina gani unahitaji, kisha nenda sido wanadesign na kutengeneza mashine za kusaga na kuchanganya.
 
Ahsanteni sn wadau wa humu ndani ntafika sido ivi punde.
 
Back
Top Bottom