Msaada kwa wanaojua size ya nguo kwa zile alama za kirumi mfano..xl,xxl nk

Msaada kwa wanaojua size ya nguo kwa zile alama za kirumi mfano..xl,xxl nk

Mc kingo

Member
Joined
Mar 5, 2021
Posts
59
Reaction score
94
Rejea kichwa Hapo juu..,

Samahani wakuu me Nina tatizo dogo,nashindwa kutambua hizo ALAMA katika nguo maana binafsi zinanichanganya.juzi Kati nilienda kufanya k shopping kidogo,nikachagua package ya boxer moja Sasa bila kudadisi nikanunua na kuondoka,kufika home kesho yake nilipotaka nivae kiLa nikijaribu nakuta zote size ya 'Pepe kale😟😟msaada tafadhali.
 
Sijaelewa shida yako ipo wapi hasa, njia bora zaidi ni kujipima kabisa kabla ya kununua, ila kwa haraka huu muongozo unaweza kukusaidia 👇

S - Small - Ndogo - Kiuno (29-31)
M - Medium - Wastani - Kiuno (32-34)
L - Large - Kubwa - Kiuno (35-36)
XL - Extra Large - Kubwa zaidi - Kiuno (37-38)
XXL - Extra Extra Large - Kubwa zaidi mara mbili - Kiuno (39-40)
XXXL - Extra Extra Extra Large -Kubwa zaidi mara tatu - Kiuno (41-43)
 
Ok shukrani
 
Sijaelewa shida yako ipo wapi hasa, njia bora zaidi ni kujipima kabisa kabla ya kununua, ila kwa haraka huu muongozo unaweza kukusaidia [emoji116]

Hizi size siku hizi sio za kuzifatisha sana, dawa ni kujaribu tu.
 
Haswa tunaopungua na kuongezeka usiku na mchana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nguo zingine unaambiwa ni XXL ila ukivaa inakua ndogo ama inakua kubwa zaidi so wenyewe wanasema inategemea na ni wap imetengenezewa
 
Rejea kichwa Hapo juu..,
Samahan wakuu me Nina tatizo dogo,nashindwa kutambua hizo ALAMA katika nguo maana binafsi zinanichanganya.juzi Kati nilienda kufanya k shopping kidogo,nikachagua package ya boxer moja Sasa bila kudadisi nikanunua na kuondoka,kufika home kesho yake nilipotaka nivae kiLa nikijaribu nakuta zote size ya 'Pepe kale😟😟msaada tafadhali.
TBS iingilie kati nguo ziandikwe kwa kiswahili, hiZo alama za kirumi ni za mabeberu na hazitusaidii kitu.
 
Sijaelewa shida yako ipo wapi hasa, njia bora zaidi ni kujipima kabisa kabla ya kununua, ila kwa haraka huu muongozo unaweza kukusaidia [emoji116]

S - Small - Ndogo - Kiuno (29-31)
M - Medium - Wastani - Kiuno (32-34)
L - Large - Kubwa - Kiuno (35-36)
XL - Extra Large - Kubwa zaidi - Kiuno (37-38)
XXL - Extra Extra Large - Kubwa zaidi mara mbili - Kiuno (39-40)
XXXL - Extra Extra Extra Large -Kubwa zaidi mara tatu - Kiuno (41-43)
Inategemeana na kampuni .ya bidhaa husika
 
Back
Top Bottom