Mwili wa Kati tu suruali kiuno n 32-33 mkuu!Weka picha yako ili tujue wewe utakua unavaa, S, L, XL, XXL au XXXL
Ok shukraniSijaelewa shida yako ipo wapi hasa, njia bora zaidi ni kujipima kabisa kabla ya kununua, ila kwa haraka huu muongozo unaweza kukusaidia 👇
S - Small - Ndogo - Kiuno (29-31)
M - Medium - Wastani - Kiuno (32-34)
L - Large - Kubwa - Kiuno (35-36)
XL - Extra Large - Kubwa zaidi - Kiuno (37-38)
XXL - Extra Extra Large - Kubwa zaidi mara mbili - Kiuno (39-40)
XXXL - Extra Extra Extra Large -Kubwa zaidi mara tatu - Kiuno (41-43)
Hizi size siku hizi sio za kuzifatisha sana, dawa ni kujaribu tu.Sijaelewa shida yako ipo wapi hasa, njia bora zaidi ni kujipima kabisa kabla ya kununua, ila kwa haraka huu muongozo unaweza kukusaidia [emoji116]
S - Small - Ndogo - Kiuno (29-31)
M - Medium - Wastani - Kiuno (32-34)
L - Large - Kubwa - Kiuno (35-36)
XL - Extra Large - Kubwa zaidi - Kiuno (37-38)
XXL - Extra Extra Large - Kubwa zaidi mara mbili - Kiuno (39-40)
XXXL - Extra Extra Extra Large -Kubwa zaidi mara tatu - Kiuno (41-43)
Hadi boxer mkuu😄Hizi size siku hizi sio za kuzifatisha sana, dawa ni kujaribu tu.
Hizi size siku hizi sio za kuzifatisha sana, dawa ni kujaribu tu.
😲😲😃😃Duh!,nahisi.Hizo alama ni kwa mavazi yote hadi condom?
🤣🤣Haswa tunaopungua na kuongezeka usiku na mchana😂😂😂
Ingekua hivyo hadi kwa ndom kuna miili mingine watu wasingeingiana kamwe😂😂😂Hizo alama ni kwa mavazi yote hadi condom?
[emoji23]Hadi boxer mkuu[emoji1]
Kuna nguo zingine unaambiwa ni XXL ila ukivaa inakua ndogo ama inakua kubwa zaidi so wenyewe wanasema inategemea na ni wap imetengenezewaHaswa tunaopungua na kuongezeka usiku na mchana[emoji23][emoji23][emoji23]
TBS iingilie kati nguo ziandikwe kwa kiswahili, hiZo alama za kirumi ni za mabeberu na hazitusaidii kitu.Rejea kichwa Hapo juu..,
Samahan wakuu me Nina tatizo dogo,nashindwa kutambua hizo ALAMA katika nguo maana binafsi zinanichanganya.juzi Kati nilienda kufanya k shopping kidogo,nikachagua package ya boxer moja Sasa bila kudadisi nikanunua na kuondoka,kufika home kesho yake nilipotaka nivae kiLa nikijaribu nakuta zote size ya 'Pepe kale😟😟msaada tafadhali.
We mkuu kazi yako ni kusema hivi Tu kwenye post zinazohitaji majibu🤣🤣Mleta mada natumae umepata muongozo...
[emoji3][emoji3][emoji3] au ROBOT huyuWe mkuu kazi yako ni kusema hivi Tu kwenye post zinazohitaji majibu[emoji1787][emoji1787]
Inategemeana na kampuni .ya bidhaa husikaSijaelewa shida yako ipo wapi hasa, njia bora zaidi ni kujipima kabisa kabla ya kununua, ila kwa haraka huu muongozo unaweza kukusaidia [emoji116]
S - Small - Ndogo - Kiuno (29-31)
M - Medium - Wastani - Kiuno (32-34)
L - Large - Kubwa - Kiuno (35-36)
XL - Extra Large - Kubwa zaidi - Kiuno (37-38)
XXL - Extra Extra Large - Kubwa zaidi mara mbili - Kiuno (39-40)
XXXL - Extra Extra Extra Large -Kubwa zaidi mara tatu - Kiuno (41-43)