Msaada kwa wanaojua Viwango vya Mshahara kwa Mwalimu nchini Botswana

Amaizing Mimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
489
Reaction score
1,102
Habarini wanajamvi,

Nimechoshwa na maisha ya walimu hapa nchini. Nimekuwa nikiona baadhi ya machapisho kuwa angalau Botswana kuna kaunafuu. Kwa anaejua mshahara wa Mwalimu wa Degree nchini Botswana naomba anijuze, na pia connection kama itawezekana.

Ahsanteni.
 
Ngoja wadau waje. Ila ridhika na mshahara wako Kwa kuwa ndio fani uliyoichagua.
 
Wewe ni Mwalimu wa nini Hujaweka Wazi

Mitaala Ya Botswana Na Tanzania Je Inaendana

Unaijua Botswana?

Umri WAKO Ni Miaka Mingapi Usije Kuwa Ni Umri Kuanzia Miaka 40 Na Kuendelea Sikushauri Mana Naiona Dalili Kama Vile Unataka Uzamie Nchi Za Watu Yasije Yakakukuta Ya Kupigwa Risasi Kama Wale Madogo Wanao Enda South Africa Bila Ramani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…