zethumb
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 610
- 137
Hi JF!
wandugu nina mdogo wangu kachaguliwa kwenda Tandabui Health Institute kusomea Health Records Financial and Information Management, napenda kufahamishwa je amalizapo kozi hii atafanya kazi hospital na kama nani pale na je nafasi za namna hii zipo available au ndo kumaliza na kusota kitaa.....!
nawasilisha....