Msaada kwa wanaokopa bodi ya mikopo kwa second year.

Msaada kwa wanaokopa bodi ya mikopo kwa second year.

Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
774
Reaction score
167
Wakuu heshima kwenu kwa ujumla!
Naomba kuuliza kwa sisi tunaoingia mwaka wa pili kuhusu mikopo. Je, tunaomba mwezi huu wa 4 au mwezi wa 6?
Mwaka jana sikupata kabisa mkopo nataka kujaribu mwaka huu kama nitapata. Vigezo vya kupewa mkopo ninavyo.
 
Ungekua na hvo vigezo mwaka jana si ungepata?
 
jaribu kuomba na hawa form 6 wa mwaka huu,2nd year wengine huwa wanapata especially wa udsm...
 
Attach matokeo ya 1st semister yenye muhuli wa chuo halafu tuma maombi, matokeo ya 2nd semister yakitoka unaenda HESLB pale Tirdo ku update info zako
 
jaribu kuomba na hawa form 6 wa mwaka huu,2nd year wengine huwa wanapata especially wa udsm...

HESLB haiangalii UDSM pekee, wala hakuna favour yoyote. 2nd year 3rd 4th wanaweza pata, its for needy students
 
Back
Top Bottom