Msaada: Kwa wanaosoma HRM mwaka wa kwanza Open Univesity

Msaada: Kwa wanaosoma HRM mwaka wa kwanza Open Univesity

nyanta

Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
21
Reaction score
0
Lejea na ombi hapo juu..mim ni kijana niliepata bahati ya kuchaguliwa pale out ..shider niliokumbana nayo ni kwamba sina na sijui nitapata wpi matereal.kwa yeyote alie na uelewa naomba anisaidie hata kwa pesa ..njoo tutengeneze group..nibip kwa namba 0714098138
 
Nenda kinondoni centre,uliza pale Kuna sehemu moja wanafundisha,jina nimesahau,kaulize pale watakupa Mwanga...
 
Aksante mkuu ngoja nitoke huk kujijin niingie hapo jijin..
 
Sijui kamusi ya lugha gani itanisaidia nimuelewe mwanzisha mada.......shider ndio nini? msomi wa chuo kikuu bado unaandika maneno kama haya? Kijana wa darasa la saba ataandika sentensi gani? .....JIREKEBISHE.....
 
Back
Top Bottom