Msaada kwa wanaosoma St. John University Dodoma

Msaada kwa wanaosoma St. John University Dodoma

Joined
Jun 18, 2012
Posts
58
Reaction score
5
Naomba kupata mawasiliano na St. John Dodoma au maelezo kama unajua wanatoa kozi ya certificate in Nursing 'Or' Certificate in Pharmaceutical na Qualification zake
 
Hapana, hizo course kwa levy ya cert na dipl hazipo, ila kuna course ya agriculture na lab technology kwa ngazi hizo.
 
samahani mkuu na mimi naomba kujuzwa kuhusu mambo yafuatayo ya sjut.sifa za kujiunga na diploma ya agriculture na intake ya pili itakuwsa lini n NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom