Naomba kupata mawasiliano na St. John Dodoma au maelezo kama unajua wanatoa kozi ya certificate in Nursing 'Or' Certificate in Pharmaceutical na Qualification zake
samahani mkuu na mimi naomba kujuzwa kuhusu mambo yafuatayo ya sjut.sifa za kujiunga na diploma ya agriculture na intake ya pili itakuwsa lini n NAWASILISHA