Msaada, kwa wanaosoma UDOM

Joined
Apr 3, 2013
Posts
53
Reaction score
0
Ivi TCU inaeza kumchagua mtu mwenye' E ' flat yaan cut point ni 3!! kwa Bachelar of aarts with education ktk chuo hiki? nauliza ivyo coz Guide-book inaonyesha cut point kwa BAED ni 4 points! Nauliza ivyo ili kama vip nisiombe hcho chuo coz mie nina E-flat ndug zangu.
 
Fuata kitabu maana kama hufikii point hiyo kozi itakua neglected ukisha maliza kuomba itakuonyesha kozi ambazo huna cfa nazo so nahiyo kama point hufiki itaonekana hvyo ndg we fanya then utaona inavyokua neglected
 
Kwa udom mbona hata E mbili unaenda,masela wangu wengi na 3 zao za 16 wako udom wanakula bata,omba haraka sana dogo.
 
Kama Tcu guidingbook inaonyesha cutting point ya kuingia udom ni 4 kwa fakati uliyotaja halafu za kwako ni 3 tu basi jaribu chuo kingine.
 
Ok nashkuru ndugu zangu kwa mawazo yenu. Naona majibu yapo pande zote 2! KUPATA + KUKOSA! !!!!. Mimi sio siri napenda kusomea UDOM.. Sasa kwakuwa majibu yenu ndo ayo, mimi nitaomba vyuo vyenye point zangu b'se vipo,,, Halaf UDOM pia NITAOMBA coz nakipenda xana iko chuo, may be ntapata.
 
Au kama vp kama udom wanautaratibu wa kuomba chuo direct ila tcu utajpunguzia vyuo vya kuchagua we ingia net halafu ingiza kozi ambacho huna point uone itatoa ujumbe kando ya kozi hucka
 
Fuata Guide-book inavyosema wewe, chuo hakikuchagui kama ilivyokuwa zamani, sasa TCU ndo wanamaliza kila kitu, kwanza utakapoomba mtandao utakukubalia wakishakula vocha yako wanakwambia huna sifa, so kama vipi omba vyuo vyenye utaratibu wa kuombea chuoni, kama bado haifai nenda Diploma...., japokua nina wasiwasi na uwezo wako maana kama hata speliing za UNIVERSITY ni tatizo......, sijui huko shuleni utafundisha nini!!!! MASIKINI FANI YETU, NDIO KIMBILIO LA VILAZA!!!!
 
Siku hizi UDOM watu wanatoswa mbaya kuhusu cut off jaribu kureview prospectus ya mwaka huu uone labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…