Naomba kupata msaada kwa anaejua nini kinatakiwa kufanyika baada ya mwanafunzi kupata matokeo na yeye anataka kwenda kusomea ualimu... je upi ndiyo utaratibu, je unaanza mwezi ngani?
Naomba kupata msaada kwa anaejua nini kinatakiwa kufanyika baada ya mwanafunzi kupata matokeo na yeye anataka kwenda kusomea ualimu... je upi ndiyo utaratibu, je unaanza mwezi ngani?
Hebu ingia web ya wizara sasa hivi, nafasi zilishatangazwa na mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 30 mwezi huu wa tano.
Form four wanachukua div iv ya 26 na 27 kwa waliomaliza 2012 kurudi miaka ya nyuma. Waliomaliza mwaka 2013, wameongezewa wigo kidogo. Ingia hiyo web uliyopewa hapo juu.