PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,288
- 17,333
Nishauri mkuu inawezakana au haiwekani?Acha kujitia umuhimu
Inawezekana.Nishauri mkuu inawezakana au haiwekani?
Huyo naona akili yake ni kama yako tuKwani we uliingiaje humu kama wameifungia?
😂Huyo naona akili yake ni kama yako tu
Kupitia vpn ila.sio wote wenye uwezo. Huo hil n jukwaa huruKwani we uliingiaje humu kama wameifungia?
Dah kama.ni kijiwe wewe n mwanakijiwe pia tuungane tupate hakiHata ningekua mimi ningekifungia hiki kijiwe cha umbea😅
Anyway; hivi watu washapata mishahara sisi machawa tukajipendekeze
Kwa nini hawana uwezo huo?Kupitia vpn ila.sio wote wenye uwezo. Huo hil n jukwaa huru
Mi mwenyewe mwana kijiwe mywangu 😅Dah kama.ni kijiwe wewe n mwanakijiwe pia tuungane tupate haki
Labda The Hague, kwa Masatu usijisumbue!Ndugu wanasheria wote mlioko humu naomba mnipe.muongozo juu jambo hili kwani kila.kitu kipo wazi toka june jukwaa.hili.lilifungwa na december hii ilitakiwa lifunguliwe lakin bado
Sasa kama jamii forum ilitimiza.hukumu na ss wanajamio.forums TCRA haijatimiza wajibu wake hvyo kuna uvunjwaji wa sheria hapa
Hvyo.naomba msaada.wa.kishera juu ya hili kama member wa jamii forum.ambaye nanyimwa. Uhuru wa habar
Asanten sana
Kwan wahusika hawajui hilo?Nishauri mkuu inawezakana au haiwekani?