M MASEETO JF-Expert Member Joined Dec 7, 2013 Posts 261 Reaction score 86 Jun 2, 2014 #1 Naomba mwenye kesi au taarifa ya judge yeyote ambaye alifukuzwa kazi ya ujaji kwa kukiuka sheria na maadili ya utumishi au kwa interest za Mh. Rais tangu tunapata uhuru.
Naomba mwenye kesi au taarifa ya judge yeyote ambaye alifukuzwa kazi ya ujaji kwa kukiuka sheria na maadili ya utumishi au kwa interest za Mh. Rais tangu tunapata uhuru.
NGOGO CHINAVACH JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 943 Reaction score 371 Jun 2, 2014 #2 kuna kesi siyo ya judge ila ni RM, alifikuzwa kwa rushwa.
banetg Senior Member Joined May 22, 2013 Posts 105 Reaction score 28 Jun 2, 2014 #3 Taratibu za kumng'oa judge kdg ngumu sana!!!! Sent from Banet Iphone!!