T tactician Member Joined Feb 16, 2020 Posts 6 Reaction score 10 Mar 30, 2023 #1 Naomba kujua,katika kesi za madai je mtu anaweza kudai mamilioni Kama fidia kwa kosa la kuiba Tsh 1000?,naomba kuwasilisha
Naomba kujua,katika kesi za madai je mtu anaweza kudai mamilioni Kama fidia kwa kosa la kuiba Tsh 1000?,naomba kuwasilisha
chapangombe JF-Expert Member Joined Sep 28, 2014 Posts 374 Reaction score 325 Mar 30, 2023 #2 tactician said: Naomba kujua,katika kesi za madai je mtu anaweza kudai mamilioni Kama fidia kwa kosa la kuiba Tsh 1000?,naomba kuwasilisha Click to expand... Shida sio kudai kulipwa hivyo unatakiwa uthibitisho kwanini ilipwe hayo mamilioni that how case inavyoendeshwa
tactician said: Naomba kujua,katika kesi za madai je mtu anaweza kudai mamilioni Kama fidia kwa kosa la kuiba Tsh 1000?,naomba kuwasilisha Click to expand... Shida sio kudai kulipwa hivyo unatakiwa uthibitisho kwanini ilipwe hayo mamilioni that how case inavyoendeshwa