Nkingiiiiii
Member
- Oct 21, 2022
- 15
- 15
Nimeimenda inavutia sana.
Unayo hiii gari Kaka??Toyota Urban Cruiser ni IST 2nd generation ndio ikauzwa kwa ilo jina Europe na America.
Ova.
Naomba mwenye kuijua hii gari ,
Nimetokea kuipenda saana,
Spea,mwendo,Mafuta nk
U mean what kaka uposema mti wa m Christmas??Hiyo ni IST mkuu.
Ila gari za ulaya zote ni mti wa chrismas, hata iwe toyota as long as imetengenezwa kwa standard za eu.
Sema iko na muonekano bomba, yaani sio kinyonge kabisaToyota Urban Cruiser ni IST 2nd generation ndio ikauzwa kwa ilo jina Europe na America.
Ova.