Msaada kwa wataalam wa sheria

Msaada kwa wataalam wa sheria

Hassan Mambosasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
3,359
Reaction score
4,528
Habari zenu wadau mimi ni mtunzi wa riwaya chipukizi nilikuwa nahitaji.msaada wenu katika kuaandaa riwaya mpya ambayo inahusu mambo mbalimbali yanayohusu sheria.
Nimekuja katika jukwa hili la sheria kwa lengo la kupata msaada katika hili.


Kiufupi ningependa kufahamu utaratibu mzima wa kesi ya mauaji unakuwa vipi kuanzia mtuhumiwa anavyokamatwa.


HASSAN O MAMBOSASA
 
Back
Top Bottom