Mimi ni kijana wa miaka 35 nimekaa kwenye ndoa toka 2013 mimi na mke wangu nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani hapa mwanza baadaye nilipunguzwa kazi. Baada ya kipato kushuka mkewangu akaanza matatitozo ya hapa na pale baada nilipatwa na kama mshtuko fulani niliiugua sana nikapelekwa KCMC kwa matibabu zaidi nikiwa kule nikapata taarifa kuwa mke wangu anauhusiano na mtu anaitwa David Panga (0767266007) mfanyakazi wa Mabibo Wine niliwauliza wote wawili walikataa kabisa.
Siku moja mwaka jana nikapigiwa simu kuwa mke wangu wapo na Dev wanafanya mapenzi kwenye gari aina ya Noah namba t744 dbr mali ya mabibo wine kwa kweli niliumia sana sana haija wahi tokea maishani mwangu wakanitumia na picha hapo ndipo nilipo anza kuamini. Nilipigia rafiki wa Dav Kasile Kasile 0767266005 amuonya Dav naye alifanya kama nilivyo muelekeza majibu aliyo jibiwa nikuwa sina lakumfanya kwa sasa sina pesa mwanamke hanitaki na nitafia hospitali.
Mwaka huu January nilirudi Mwanza nikakuta mke anakaa kwao nikauliza nikaambiwa ameamu nilipoenda tulipo kuwa tunaishi nilikuta myumba nyeupe haina hata kijiko kufuatilia nikaambiwa mke wangu na Dav walipakia vitu vyote wakapeleka kwao mwana mke kufikakule sikukukta hata chupi yangu nikiulizwa najiba achana na mimi fuata yako niliumia sana sana, baadaye nikagundua viliuzwa wakaenda kupanga nyumba maeneo ya Maziwa kwa baba John Muha nilifuatili kwa miezi mitatu wakati huo namba ya simu walibadilisha kwa ajili ya mawasiliano yaotu walitumia hallo tell wote Mungu siku moja akanikutanisha na mwanangu maeneo ya kona ya Bwiru ana miaka 4 akanimbia baba sikuhizi Uncle analala na mama dada analala kwenye gari Noah t 744 dbr.
Nikaanza kufutilia nikundua wanapoishi mwezi wa 4 nilipata samas kutoka baraza la kata Igoma kuhusu mgogoro wa ndoa nilifika mwanamke akaelezea yake basi na mimi nikaambiwa nieelezee yangu nikaelleza kama nilivyo andika hapo juu mwenyekiti akatoa hukumu ndoa hii ivunjwe akajaza fomu na 3 kwenda mahakani moja ya wajumbe akanimbia nisikubali kabisa maana waliofungua mgogoro wa ndoa alikuja na bwana Dav na mimilikataa nikawambia namtaka mke wangu japo anamtu mwingine mimi sijali nime msamehe kabisa wakecheka wote tukaambiwa twende tutaitwa maana bibie anataka talaka.
Wakati huo cha kugawana hakipo alishauza vyote sasa mimi na lala kwa marafiki mpaka sasa mnamo tarehe 6/7/2013 nilenda maeneo walikuwa wanaishi nilifika inje nilikuta gari imepack T744dbr Noah imeandikwa windhock beer kuchungulia nilikuta wakifanya ngono nilipandwa na hasira mwanamke alikimbia akaenda polisi Mabati kituo cha Kokoto mwanaume tulimuhoji akesema asamehewe ni shetani, gafla wakaja polisi walinikamata na kunipeleka police nililala police pale tukaandika maelezo walinionea huruma sana wakanichia Dav alikiri kuwa na uhusiano na mke wangu alukuwa hajui kama ameolewa anadai hakumbiwa. Mke wa a wakati huo alikuwa masomoni Dar nimwalimu IFM Mwanza branch.
Je huyu mwanamke nimpe talaka au nimg'ang'anie anipe talaka? Je huyu Dav nimfungulie kesi ya ugoni?
Je mwanamke akinipa talaka atanifidia kama watu wanavyoniambia, ushauri pls sio siri namba yangu ni 0764 759 314 kwa msaada zaidi wataalam wa maswala haya mimi sijui pa kuanzia.
Naomba jokes msiweke plz.