Msaada kwa wataalamu wa gari yangu imeongeza kiwango cha kula mafuta

Msaada kwa wataalamu wa gari yangu imeongeza kiwango cha kula mafuta

Longito

Member
Joined
May 3, 2018
Posts
21
Reaction score
28
Nina gari Toyota L/C Prado -Engine 1KZ: CC - 4166: Matumizi ya diésel yalikuwa Lita 1 kwa 9 kms, kwa sasa hivi linatumia Lita 1 = 6 kms, naomba ushauri wa kitaalam wa tatizo hili.
 
Back
Top Bottom