Pranzou jr
Member
- May 28, 2019
- 51
- 54
Doctor naombeni msaada wa aina ya dawa nitumie ya macho, tatzo langu ninauono hafifu wa macho ulioanza mwanzoni mwa mwakahuu, macho hayaumi wala kutoa machozi
Naombeni msaada
Naombeni msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jino ukiona linasumbua unang'oa na jicho hivyo hivyoSasa hivi macho nitatizo kubwa,Mimi ninashida kama kuna kitu kimeniingia kwenye macho,nikiinua kope ya juu jicho linauma kama kitu kinanikwaluza vile watalaam naombeni ushauri.
We umeng'oa mangapi?Jino ukiona linasumbua unang'oa na jicho hivyo hivyo
Mkuu ukitaka kujua tofauti ya macho na jino panda pikipiki alafu fumba macho.Jino ukiona linasumbua unang'oa na jicho hivyo hivyo
Mkuu dalili za magonjwa zinaweza kufanana lakini visababishi vikawa tofauti.Jaribu hiyo mkuu kwa maelezo Yako Ni kama tatizo nililokua nalo mimi, niliandikiwa Dozi ya Miezi Miwili ila nilitumia ya mwezi mmoja tu nikawa nimepona kabisa, kiboksi kimoja kina vidonge 20 Ni 1 mara 1 kutwa..
Usisahau kuleta MrejeshoView attachment 1114942View attachment 1114943
Mkuu dalili za magonjwa zinaweza kufanana lakini visababishi vikawa tofauti.
Chanzo cha ugonjwa wako kinaweza kisiwe sawa na huyu mleta mada. Muhimu aende kwa daktari apimwe na kupewa matibabu sahihi kwa ugonjwa wake.
Sio lazima dawa zilizokuponya wewe zimponye.