Msaada kwa wataalamu wa ngozi

Msaada kwa wataalamu wa ngozi

Anderson John

Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
44
Reaction score
57
habari za mda na wakati huu wana JF. ninaswali ambalo linahusiana na maswala ya ngozi...tatizo la kutokutokwa na jasho huwa linasababishwa na nini au chanzo ni nini?
 
Unatokwa na jasho ukifanya nini? Mchana au usiku? Unafanya kazi aina gani?

Fafanua
 
Wapo wanyama hawatoki jasho unaweza ukawa kwenye kundi lao, cheki vizuri hospitali
 
Back
Top Bottom