Anderson John Member Joined Jun 24, 2015 Posts 44 Reaction score 57 Aug 15, 2017 #1 habari za mda na wakati huu wana JF. ninaswali ambalo linahusiana na maswala ya ngozi...tatizo la kutokutokwa na jasho huwa linasababishwa na nini au chanzo ni nini?
habari za mda na wakati huu wana JF. ninaswali ambalo linahusiana na maswala ya ngozi...tatizo la kutokutokwa na jasho huwa linasababishwa na nini au chanzo ni nini?
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 5,983 Reaction score 6,171 Aug 15, 2017 #2 Unatokwa na jasho ukifanya nini? Mchana au usiku? Unafanya kazi aina gani? Fafanua
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 22,527 Reaction score 79,976 Aug 15, 2017 #3 mtzedi said: Unatokwa na jasho ukifanya nini? Mchana au usiku? Unafanya kazi aina gani? Fafanua Click to expand... Kaandika kutokutokwa na jasho
mtzedi said: Unatokwa na jasho ukifanya nini? Mchana au usiku? Unafanya kazi aina gani? Fafanua Click to expand... Kaandika kutokutokwa na jasho
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Aug 15, 2017 #4 Wapo wanyama hawatoki jasho unaweza ukawa kwenye kundi lao, cheki vizuri hospitali