Mkenye Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 218
- 410
Naota watu mbalimbali wa karibu wamekufa/wanafia mikononi mwanguUnaota vitu gani wajuzi wakusaidie…
Pole sana mkuuNaota watu mbalimbali wa karibu wamekufa/wanafia mikononi mwangu
Ahsante mkuuPole sana mkuu
Mkuu movie sitishiki nazo lakini mambo ya ndoto huwa nayachukulia serious sanaunaogopaje Ndoto sasa ..?
movie za kutisha nazo ukiangalia unaogopa 😂😂
hata mimi piaMkuu movie sitishiki nazo lakini mambo ya ndoto huwa nayachukulia serious sana