Msaada kwa watalaam wa magroup ya damu

dibk

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
424
Reaction score
365
Heshima yenu madoctors;

Samahani naomba kuuliza, hv inawezekana kwa mtoto kuzaliwa akiwa na blood gloup B+ huku wazazi wake ni A+ na O+? Kwa mwenye kufaham vizuri hii Biology naomba kujua tafadhali.
 
kwa watalaam tafadhali
 
Haya mkuu kila la kheri kwa majibu,ngoja wataalamu waje...
 
Bora uulize huku kuliko kule kwenye DNA.... majibu ya kule siyo mazuri
 
Mother A+
Father O+
Hapo tuna cross matching Ab na Oa
Hapo tutapata AO, AA, BO , BA

Kwa hyo watoto sasa itakuwa hvi
Mtoto wa kwnza ni Group A
Mtoto wa pili ni Group A
Mtoto wa tatu ni Group B
Mtoto wa nne ni Group B
 
Mkuu hio haiwezekani na huyo mtoto sio wa baba tajwa hapo juu..

Maana group za damu huwa zina homozygous na heterozygous kwa mfano group A inaweza kuwa AA au AO .
Happ juu umeonesha baba ana O amabayo yenyewe huwa homogeneus tu OO .
Hivyo bas ukikross blood group ya baba na mama ni impossible kupata group B.

OO x AO au AA = OO na AO.
Kwa wazazi uliotaja hapo juu wanaweza kuzaa group O na A tu..
 
Mother A+
Father O+
Hapo tuna cross matching Ab na Oa
Hapo tutapata AO, AA, BO , BA

Kwa hyo watoto sasa itakuwa hvi
Mtoto wa kwnza ni Group A
Mtoto wa pili ni Group A
Mtoto wa tatu ni Group B
Mtoto wa nne ni Group B
Mkuu hapo naona umechanganya madesa..
Heterogeneous ya group A ni AO na sio AB..
 
Haipoi hiyoo Mzeeee...!! Kuna mtu kaibiwaa hapoo laivu bila chengaa
 
Njooni huku mwenzenu nimechelewa sikusoma
 
Mkuu hapo naona umechanganya madesa..
Heterogeneous ya group A ni AO na sio AB..
Aisee naona hematology na genetics umeisoma vizur sanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Hahah nakumbushia biology F6[emoji23][emoji23]
Sasa je ukiambiwa hayo magruop ya damu kuna sababu husababisha kuchange je utaamin ?
Elimu banah [emoji23][emoji23][emoji23].

Vip naona biology ya six ulikuwa poa now MD ushaitendea haki ake chief ama.
 
Heshima yenu madoctors;

Samahani naomba kuuliza, hv inawezekana kwa mtoto kuzaliwa akiwa na blood gloup B+ huku wazazi wake ni A+ na O+? Kwa mwenye kufaham vizuri hii Biology naomba kujua tafadhali.
Hata kama kuna tofauti Basi vumilia usichukue maamuzi ya majuto
 
Haya mambo jaman muwe mnatembelea hospital,
Usitegemee jambo zito kama hili Dr akujibu ktk social media.
Kuna Ethics ya kazi jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Wee fika hospital kwanza usijal hatutakupima DNA mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…