Msaada: Kwa watalamu wa afya ya uzazi

Sijakuelewa kabisa kabisa ila hapo kuna mtu na mimba kama siyo yeye basi wewe fanya ukapime
 
Na ndio maama JPM hataki wanafunzi wapate mimba. Huyu doga hata google haijui, anaogopa kuuliza walezi/wazazi na walimu wake
 
Mkuu nitaurudi..


Ila hakikisha unapokua kimahusiano na mwanamke make sure awe nimwanamke ambaye hata ikitokea umempa mimba nawazazi wake wakahitaji upambane nahali yako Basi wanakua wamekurahisishia kazi .....

Sio ufanye kupunguza ugumu tu matokeo yake ndo hayo sasa unaanza hangaika !!.
 
Hiyo hapo
Kuanzia trr 25-3 usifanye chochote
 

Attachments

  • FB_IMG_1497796992228.jpg
    10.6 KB · Views: 30
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…