Msaada kwa watanzania walio shuleni (kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu)

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
Kumekuwepo na malalamiko ya uhaba wa vitabu mashuleni hivyo wanafunzi wengi kushindwa kufanya vizuri katika masomo yao. kama mdau wa elimu, nimeamua kujitolea kutoa msaada kwa wote katika masomo mawili ya Kiingereza (English) na Kiswahili. mimi ni mzuri zaidi katika English (Linguistics). kwa wanafunzi wa vyuo pia ukiwa na tatizo la references (scholars) kwenye kozi zote zinazohusu English na Kiswahili niPM au post swali lako tutasaidiana kadri itakavyowezekana. Asanteni!
 
Mkuu usione kimya, bado tupo kule na ESCROW
 
ha ha ha ha! ESCROW imekua ESCROW, ni kweli ndugu yangu watu ambao tumejaliwa uelewa wa matatizo yanayoikumba nchi yetu tuwasaidie watanzania wenzetu ambao wengi wao wapo vijijini wakiteseka, huku wachache (mimi nawaita WAUAJI) wakimalizia hata hiki kidogo tulichobaki nacho.
 
Back
Top Bottom