Msaada kwa watu wa Mkoa wa Mbeya na Songwe huyu ndungu Frank Kibona amefariki mkoani Tanga,hakuna ndugu aliyejitokeza

Msaada kwa watu wa Mkoa wa Mbeya na Songwe huyu ndungu Frank Kibona amefariki mkoani Tanga,hakuna ndugu aliyejitokeza

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Kuna huyu ndugu amefariki huko Tanga, hilo jina la Kibona ni asilimia kubwa Wandali wa Isoko, Kalembo na wilaya ya Ileje kwa ujumla na wamesambaa sana maeneo mengine pamoja na mikoa ya Songwe, Rukwa na Mbeya.Tusaidiane kusambaza hii taarifa.
IMG-20210529-WA0000.jpg
 
Nguvu ya mtandao nikubwa Bwana huyu ameshatambulika na amezikwa jana katika makaburi ya SHIGAMBA-MBALIZI MBEYA
Afadhali, kuna mkuu yupo Tanga amenitumia hii asubuhi
 
Afadhali, kuna mkuu yupo Tanga amenitumia hii asubuhi
Nazani taarifa hii ilianza kusambaa kuanzi siku chache zilizopita mana nasikia baada ya ndugu zake wa Mbeya kuona hiyo taarifa walimtuma ndugu yao aliyopo Morogoro kwenda Tanga kuhakiksha na ndipo mipango yakusafirisha namazishi zikafanyika
 
Back
Top Bottom