Kuna huyu ndugu amefariki huko Tanga, hilo jina la Kibona ni asilimia kubwa Wandali wa Isoko, Kalembo na wilaya ya Ileje kwa ujumla na wamesambaa sana maeneo mengine pamoja na mikoa ya Songwe, Rukwa na Mbeya.Tusaidiane kusambaza hii taarifa.
Nazani taarifa hii ilianza kusambaa kuanzi siku chache zilizopita mana nasikia baada ya ndugu zake wa Mbeya kuona hiyo taarifa walimtuma ndugu yao aliyopo Morogoro kwenda Tanga kuhakiksha na ndipo mipango yakusafirisha namazishi zikafanyika