Msaada kwa watumishi wa umma waliowahi kwenda kusoma nje ya nchi ndani ya Afrika mashariki

NAXFRA

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
392
Reaction score
74
Naomba uzoefu na stahiki ntakazozipata toka kwa mwajiri endapo ntaenda kusoma Uganda. Napenda kwenda kusoma shahada ya uzamili nchini Uganda kwa sababu yangu binafsi; zikiwemo 1. Gharama ndogo, 2. Pesa yetu ipo juu. 3. Kumudu fluent english speaking 4. Kubadili mazingira ya elimu 5. Kupanua wigo na 6. Kutembea na kujifunza mambo fulani kwa nchi mahususi kulingana na ntakacho kisomea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…