Nimekuwa nikifanya biashara ya kuuza maziwa fresh ya ng'ombe wa kienyeji,
Changamoto inayonipata n kwamba maziwa yanatoka mbali kidogo ya mji sasa wakat mwingine yanakatika yanapokuwa sokoni
NB maziwa yanakamuliwa asubuh na kuchemshwa kisha nnayaweka kwenye freezer had kesho yake asubuh ndo nayapeleka sokoni.
Sasa wakat mwingine inabid kuwafidia wteja wangu maziwa pale yanapokuwa yamekatika.
Jee nitumie njia ngan ili yawe salama mda wote??, kwa wanaojua biashara hii msaada tafadhali..