Msaada kwa wazoefu wa biashara ya maziwa fresh tafadhali

Finder

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
376
Reaction score
423
Nimekuwa nikifanya biashara ya kuuza maziwa fresh ya ng'ombe wa kienyeji,
Changamoto inayonipata n kwamba maziwa yanatoka mbali kidogo ya mji sasa wakat mwingine yanakatika yanapokuwa sokoni
NB maziwa yanakamuliwa asubuh na kuchemshwa kisha nnayaweka kwenye freezer had kesho yake asubuh ndo nayapeleka sokoni.
Sasa wakat mwingine inabid kuwafidia wteja wangu maziwa pale yanapokuwa yamekatika.
Jee nitumie njia ngan ili yawe salama mda wote??, kwa wanaojua biashara hii msaada tafadhali..
 
mkuu unapaswa kuwa na sehemu ya kuhifadhi huko maeneo ya sokoni, yani kuwa na mtu ambae anaweza kukusaidia kuweka baadhi ya maziwa wakati mengine unawauzia maziwa ili yakiisha uchukue tena na uuze kwao.
shortcut ya dawa ni kuharibu afya za wateja wako
 
Kwa nini uyachemshe wewe? Kwa nini usiyaweke hivyo hivyo kwenye freezer na ukiyatoa uyapeleke kwa wateja? Unavyo chemsha unaharibu zaidi.

Yaweke na yapeleke hivyo hivyo wao ndo wakayachemshe wenyewe.
 
Kwa nini uyachemshe wewe? Kwa nini usiyaweke hivyo hivyo kwenye freezer na ukiyatoa uyapeleke kwa wateja? Unavyo chemsha unaharibu zaidi.

Yaweke na yapeleke hivyo hivyo wao ndo wakayachemshe wenyewe.
Naomba mwongozo wa kilimo cha mboga mboga
 
Kwa nini uyachemshe wewe? Kwa nini usiyaweke hivyo hivyo kwenye freezer na ukiyatoa uyapeleke kwa wateja? Unavyo chemsha unaharibu zaidi.

Yaweke na yapeleke hivyo hivyo wao ndo wakayachemshe wenyewe.
Nayachemsha kwa sabab sehem yanakotoka n mbal na pia hakuna umeme
So yanachemshwa huko asubh na yananifikia mida ya saa saba mchana
Hapo ndo nayaweka kwenye freezer na kesho yake asubh nayauza kwa wateja wangu
 
Upo maeneo gani mkuu
 
Hapo ndo unapo kosea. Kuyachemsha.
 
Reactions: amu
Hii si itakuwa gharama kubwa
Kwetu ss ambao hata vitambulisho vya machinga hatuna n shida hii
Lkn vip gharama yake ikoje na upatikanaji wake ??
Wewe kwenye biashara unategemea tu vitambulisho? Si kuna leseni? Unaogopa kulipa Kodi?
 
Maziwa wakikamuliwa yasichemshwe yajazwe kwenye madumu na kuwekwa kwenye mafriza yanayogandisha vzuri, asubuhi unachukua yameganda unafikishia sokoni yanayeyuka unauza
 
Reactions: amu
Ok shukran
Maziwa wakikamuliwa yasichemshwe yajazwe kwenye madumu na kuwekwa kwenye mafriza yanayogandisha vzuri, asubuhi unachukua yameganda unafikishia sokoni yanayeyuka ushafika sokoni
 
Siogopi ila badi sijafika uwezo huo
Ndo nimeanza tuu sahz na sjaanza kuuza maziwa mengi
Mkuu unaonaje ukajipanga ufuge ng'ombe wa maziwa mwenyewe maadam soko unalo na vitendea kazi pia vipo.
Ikiwezekana unakochukua kama ni mbali na maziwa upatikanaji wake ni uhakika ufanye utaratibu kupata kichumba cha kukusanyia maziwa na kuyahifadhi/kipoozeo ili uweze kuwafikishia wateja wako bidhaa bora na kuongeza wigo mpana zaidi kuliko kupata hasara ya kufidia kila wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…