beneli
Member
- May 1, 2013
- 86
- 7
ndugu wana jamii , ningependa kupata msaada katika swala hili linalontatiza kuhusu GPA hasa hii ambayo ni moja wapo ya kigezo kwa kupata chuo na pengine mkopo, tcu wanataka GPA ya 2.7 kama kigezo ,swali langu ni je, hiyo GPA ni ya semester zote nne au semester ya mwisho tu au mbili za mwisho ? Na je bodi ya mkopo wanataka GPA ya ngapi ili waweze alau kukufikiria kukupa mkopo ? Nawasilisha