VictoniX
Member
- Jan 12, 2022
- 9
- 8
Naomba kujua kama ukitumia Aliexpress kuagiza mzigo kuwa uwezekano wa kutumia agent wengine wa usafirishaji tofauti na options ambazo Aliexpress wanakuwa wameziweka...
Yani kwa mfano nataka kuagiza mzigo ila nahitaji kutumia Silent Ocean kusafirisha mzigo wangu, je ni hatua gani natakiwa kuzifata maana naona option ya usafirishaji wanacommand kutumia zilizopo
Msaada kidogo hapo kwa wazoefu