Ndio inawezekanakuwa uwezekano wa kutumia agent wengine wa usafirishaji tofauti na options ambazo Aliexpress wanakuwa wameziweka
Nimejaribu tumtumia ujumbe muuzaji though bado hajajibu but nipo najiuliza mwenyew maana naona wanajumlisha kabisa na pesa ya usafirishaji wakati nataka kutumia agent mwengine ndomana nkataka kujua inawezekana au Aliexpress hawatoi option hyoNdio inawezekana
- Unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na muuzaji na kumweleza kile unachotaka kifanyike.
- Mpe muuzaji anwani husika ya huyo agent.
Gharama ya usafiri ni kulingana na nchi husika mzigo unaenda.maana naona wanajumlisha kabisa na pesa ya usafirishaji
Hapa nimekuelewa fresh sana Kiongozi shukrani sanaGharama ya usafiri ni kulingana na nchi husika mzigo unaenda.
Angalia agent wako ofisi zake ziko nchi/Taifa lipi
Chagua kwenye drop down menu, na hakikisha kwenye shipping address tayari umejaza hiyo address aliyokupa agent, Gharama ya usafirishaji itakayojitokeza italingana na mahali mzigo unaenda.
By default mfumo wa aliexpress utaonyesha gharama za Tanzania, Hivyo kwenye nchi chagua mfano China, na gharama za kusafirisha kuelekea china zitajitokeza, badala ya zile za Tanzania.
Ingekuwa Alibaba sawa usafiri Ni Bei ila kwa AliExpress tumia njia za kule kule tu sio Bei hataNaomba kujua kama ukitumia Aliexpress kuagiza mzigo kuwa uwezekano wa kutumia agent wengine wa usafirishaji tofauti na options ambazo Aliexpress wanakuwa wameziweka...
Yani kwa mfano nataka kuagiza mzigo ila nahitaji kutumia Silent Ocean kusafirisha mzigo wangu, je ni hatua gani natakiwa kuzifata maana naona option ya usafirishaji wanacommand kutumia zilizopo
Msaada kidogo hapo kwa wazoefu
Aliexpress Ukiitafuta China Mainland wakati wa kuweka adress ilikuwa haipatikani siku za nyuma, sijajua kama kwa sasa wameiweka.,Gharama ya usafiri ni kulingana na nchi husika mzigo unaenda.
Angalia agent wako ofisi zake ziko nchi/Taifa lipi
Chagua kwenye drop down menu, na hakikisha kwenye shipping address tayari umejaza hiyo address aliyokupa agent, Gharama ya usafirishaji itakayojitokeza italingana na mahali mzigo unaenda.
By default mfumo wa aliexpress utaonyesha gharama za Tanzania, Hivyo kwenye nchi chagua mfano China, na gharama za kusafirisha kuelekea china zitajitokeza, badala ya zile za Tanzania.
Nimeangalia Sasa sijaonaAliexpress Ukiitafuta China Mainland wakati wa kuweka adress ilikuwa haipatikani siku za nyuma, sijajua kama kwa sasa wameiweka.,
Ilikuwepo tu Hongkong.